Youtube downloading is not supported anymore.
Scroll to know more
Bonyeza kwenye taswira ya facebook kwenye kurasa kisakuzi na ingia kwenye akaunti yako ya facebook. Kuingia ni hitaji la mala moja. Mala unapo ingia kisakuzi hukumbuka stakabadhi za kuingia kwako awali.
Utaona batani ya upakuzi ya rangi ya bluu iliyo ingia kwenye video zote. Bonyeza kwenye batani ya upakuzi kwenye video ambayo unahitaji kuipakua.
Kioo cha utondoti(maelezo) hutokea chini ya kioo kuonyesha viungo vya upakuaji. unaweza kuchagua azima ambayo unahitaji kupakua kutoka hapa.
Mala ambapo azimio huchaguliwa mazungumzo hutokea ambayo huku ruhusu kubadili eneo la upakuzi na kuchagua idadi ya nyuzi za mtandao wa upakuzi haraka.
Bonyeza kwenye batani ya upakuzi na pakuzi yako huanza. Unaweza kubonyeza kwenye taswira ya upakuzi juu ya kioo kwa kutizama pakuzi zako.
Fungua programu yako ya facebook na bonyeza kwenye taswira ya uchaguzi wa video yoyote ambayo unahitaji kuipakua.
Wakati ambapo menyu ya Uchaguzi itaonekana utatakiwa kubonyeza kwenye 'Kiungo nakili' uchaguzi kutoka kwenye menyu.
Mfuniko wa mazungumzo hutokea chini ya kioo kukushawishi upakue video ambayo umeichagua. Bonyeza kwenye batani ya upakuzi.