IMPORTANT: Youtube downloading is no more supported by Videoder.
IMPORTANT: Youtube downloading is no more supported by Videoder.
Scroll to know more
Tafuta sauti ambayo unahitaji kuipakua. pia unaweza kupangilia utafutaji wako kwa kutumia baadhi ya vichujio vya utafutaji.
Chagua sauti kutoka kwenye matokeo ya utafutaji ambayo yametokea. Unaweza kupakua mamia ya sauti kwa wakati mmoja kutumia kipengele cha upakuzi wingi.
Sasa unaweza pia kucheza sauti au kuchagua kupakua katika azimio lolote ambalo linapatikana. Videoder inakupa upakue sauti kwa mfumo wa mp3 na m4a.
Mala ambapo azimio huchaguliwa mazungumzo hutokea ambayo huku ruhusu kubadili eneo la upakuzi na kuchagua idadi ya nyuzi za mtandao wa upakuzi haraka.
Bonyeza kwenye batani ya upakuzi na pakuzi yako huanza. Unaweza kubonyeza kwenye taswira ya upakuzi juu ya kioo kwa kutizama pakuzi zako.
Tafuta video au sauti ambayo unapenda kuipakua katika programu yako ya Youtube.
Wakati umefungua video ambayo unataka kupakua sauti, kibonyezeo cha ugawio hutokea upande wa kulia chini ya muonekano wa kioo. Bonyeza kwenye batani ya gawio na chagua programu ya video kutoka kwenye menyu ya gawio.
Utondoti(maelezo) kutokea chini ya kioo kuonyesha viungo vya upakuzi. Unaweza kuchagua ubora wa sauti ambao unahitaji kupakua.