Youtube downloading is not supported anymore.
Scroll down
There are three ways to download youtube videos using Videoder app:
Tafuta video au muziki ambao unahitaji kupakua. Pia unaweza kuchuja utafutaji wako kwa misingi ya maudhui ya aina unayo itaka (video, idhaa au orodha ya uchezaji) au chagua muda wa sura ya matokeo ya utafutaji wako.
Chagua faili ambalo unahitaji kupakua kutoka kwenye matokeo ya utafutaji yaliyo jitokeza. Unaweza pia kupakua video kwa wingi kwa mbonyo mmoja kwa kuongeza video ambazo unahitaji kuzipakua kwenye kiputo cha upakuzi na uzifanye zipakuliwe kwa mbonyo mmoja.
Sasa pia unaweza kucheza video au kuchagua kuipakua kwenye azimio lolote ambalo hupatikana. Videoder inakupa upakue kwenye azilimo linalo anzia 144p hadi 1080p(HD ya mwisho) na hata pia 4k(HD ya kupita kiasi)
Mala ambapo azimio huchaguliwa mazungumzo hutokea ambayo huku ruhusu kubadili eneo la upakuzi na kuchagua idadi ya nyuzi za mtandao wa upakuzi haraka.
Bonyeza kwenye batani ya upakuzi na pakuzi yako huanza. Unaweza kubonyeza kwenye taswira ya upakuzi juu ya kioo kwa kutizama pakuzi zako.
Tafuta video au sauti ambayo unapenda kuipakua katika programu yako ya Youtube.
Wakati ambapo umefungua video ambayo unahitaji kuipakua batani ya ugawaji hutokea upande wa kulia chini ya muonekano wa kioo. Bonyeza kwenye batani ya ugawaji na chagua programu ya videoder kutoka kwenye menyu ya uchaguzi.
Kioo cha utondoti(maelezo) hutokea chini ya kioo kuonyesha viungo vya upakuaji. unaweza kuchagua azima ambayo unahitaji kupakua kutoka hapa.
Mala ambapo azimio huchaguliwa mazungumzo hutokea ambayo huku ruhusu kubadili eneo la upakuzi na kuchagua idadi ya nyuzi za mtandao wa upakuzi haraka.
Bonyeza kwenye batani ya upakuzi na pakuzi yako huanza. Unaweza kubonyeza kwenye taswira ya upakuzi juu ya kioo kwa kutizama pakuzi zako.
Get started with Videoder now.