Youtube downloading is not supported anymore.
husika=› rasmi
tazama pakuzi katika sehemu ya kutolea taarifa za simu yako, pakuzi ikikamilika gusa ujumbe ulokamilika kwa ajili ya kusanikisha
mipangilio yako ya simu inaweza isikuruhusu kusanikisha programu mbali na zilizo katika playstore, kama ukiona ujumbe kama unaoonekana hapo chini. nenda katika mipangilio ya simu yako 'settings' na ufuate maelekezo yafuatayo
nenda katika settings -> security -> unknown sources na uiwashe
rudi katika pakuzi na fungua zilizopakuliwa na umalizie usanikishaji. usisahau kuzima ruhusa inayozuia usanikishaji kutoka katika vyanzo visivyofahamika
usanikishaji umekamilika? sasa unaweza kuendelea na upakuaji wa nyimbo na video zako zote uzipendazo. kama kuna tatizo lolote basi tafadhari wasiliana nasi kupitia support@videoder.com